Assalaamu alaikum,
Natumai hamjambo.
Mwezi unaotupigia hodi (katika kalenda ya Kiislam) ni Rajab. Leo ni mwezi 30 Mfungo 9 (Jamadi-ul-Akhar) na kuandama mwezi upo leo hii jioni.
Hivyo baada ya mwezi kuandama, Mtume Swall-Allahu Alaihi Wasallam ametuagiza tusome dua ifuatayo:
ALLAHUMMA BAARIK LANA FI RAJAB WA SHA’ABAAN WA BALLIGHNA ILAA SHAHRI RAMADHAN
In shaa Allah risala ya mwezi Rajab itafuata katika siku zijazo.
JazakAllah.