Ads 468x60px

Sep 20, 2016

Mfungo 3 - Kwa Wenye Kudhamira Kuchinja

Assalaamu alaikum,

Natumai hamjambo. Ujumbe kwa wenye kudhamiria kuchinja siku ya Eid el Haj mwaka huu.

AL HADITH.

Amesema Mtume Muhammad kuwa mwenye kuwa na mnyama na amedhamiria kumchinja (siku ya Idi) (au hata kama huna mnyama ila umedhamiria kuchinja), basi unapoandama tu mwezi wa Mfungo Tatu (Dhul Hijjah), aache kukata kucha na nywele hadi achinje.

Amainukuu Imam Muslim, Hadithi na 5117, pia Sunan Abu Daud Hadithi na 2791 na Sunan Nasai Hadithi na 4373.

Tunatarajia muandamo wa mwezi kwa hapa Dar in sha Allah siku ya Ijumaa 2/9/2016.

0 comments:

Post a Comment

Enter your Comment here...

 

Visitor's Traces

Total Page views