Assalaamu alaikum,
Nimeulizwa swali kama hivi …
Naomba unifahamishe kama inawezekana, kuna hikma gani ya kutokunyoa na kukata kucha mpaka uchinje?
JIBU
Kwa kuwa ni Kauli ya Mtume ﷺ basi kuna baadhi ya mambo ambayo huwa ina hekima ndani yake, na ndiyo maana hata Masahaba waliambiwa na Mtume ﷺ kuwa wajihadhari kuuliza maswali mengi kwani Ummah zilizopita ziliangamizwa kwa sababu hizo.
Mhujaji anapokuwa katika haji ya ihram (mavazi myeupe), haruhusiwi kukata kucha wala kunyoa hadi baada ya kuchinja (ambayo ni mmojawapo ya nguzo ya hija).
PENGINE ..
Kwa kuwa sisi tunatekeleza Sunnah ya kuchinja, ndyo maana tumeagizwa kufanya hivyo ili kuambulia thawabu.
0 comments:
Post a Comment
Enter your Comment here...