Ads 468x60px

Jun 8, 2013

ISRA NA MI-'IRAJ - PT 5‏ (Kiswahili)


Assalaamu alaikum,
 Natumai hamjambo. Ijumaa Kareem na Miraj Mubarak kwenu nyote pamoja na familia zenu.
 Angalia picha hapo chini kwa makini.
 

HAPO NI PAHALA PA MTUME MOHAMAD SWALLALLAHU ALAIHI WASALLAM ALIPO KWENDA MBINGUNI KWA ISRAA NA MIIRAJ HILO JIWE JINA LAKE SAKHRAA AMEAANZA SAFARI YAKE TOKA HAPO PAHALA PATAKATIFU,
Mwangalizi wa Masjidul Aqsa ameeleza kuwa usiku ule baada Salatul Isha-I lango kuu la Msikiti ulikuwa haufungi hata baada ya kutumia nguvu sana. Kisha wakaona wauache tu wazi na asubuhi watarekebisha. Alipofika kwa ajili ya Sala ya Alfajiri, alikuta Msikiti unanukia herufu nzuri ajabu na alihisi Baraka ya kipekee ndani. Baada ya kumaliza Sala alipofunga mlango ukafunga bila ya matatizo yoyote!! Sub-Hanallah!!
Je wale ambao wanapinga msafara huu wa Mi-iraj ya Mtume Swallallahu Alaihi Wasallam kuwa eti ni ndoto tu, bado wataendelea kupinga licha ya dalili hiyo moja tu??? Ama kweli wamepungukiwa!

Maswali / maoni yanakaribishwa. 
JazakAllah,
Muhammad KHATRI 

0 comments:

Post a Comment

Enter your Comment here...

 

Visitor's Traces

Total Page views